Ni
siku ya 42 tangu kuanza kwa mashindano ya Big Brother Africa na idadi
ya washiriki inazidi kupungua kadri siku zinavyozidi kusonga ambapo
usiku wa Novemba 16 2014 washiriki wengine wawili wametolewa.
Aliyekuwa anaiwakilisha Afrika Kusini,
Samantha pamoja na Achalume Malick a.k.a ‘Mr. Numbers’ au Mr. 265
mshiriki wa Malawi wametolewa kwenye Mashindano hayo.
Mr. 265 amesema mbali na ugumu wa
mashindano hayo, ameinjoy kuwa ndani ya jumba hilo ambapo kwa upande
mwingine baada ya hawa washiriki kutolewa kuna washiriki wengine 12
waliobakia ndani ya jumba hilo.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment