Dunia
Imekwisha Mwanaumme Mmoja Amejikuta Akianzisha Mahusiano Ya Kimapenzi
Na Mwanasesere (Doll ) ,Amekuwa Katika Mahusiano Hayo Kwa Muda Mrefu,Amekuwa Na Tabia Ya Kutoka Nae Matembezi Ya Jioni Kula Nae Kulala Na Hata Kwenda Nae Kazini.
Mdoli Huo Umetengenezwa Kwa Mfano Wa Binadamu Kwa Kuwekwa Kila Kitu Cha Mwanamke Na Kama Unavyoona Katika Picha
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment