Siku ya tukio watoto walikuwa
wakicheza nje ya nyumba yao kama wiki moja iliyo pita ndipo kuna baba
mmoja akapita akamwambia mtoto mmojaq wa kiume amuonyeshe duka lilipo
maeneo hayo yule mtoto wa kiume alikataa ndipo alipo mwambia mtoto wa
kike aitwae Nuru nipeleke dukani. yule mtoto akatangulia mbele yule babu
akiwa nyuma. yule mtoto wa mwanzo wa kiume akakimbia kwa shangazi yake
ambaye ni mama wa mtoto Nuru.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment