Watu wawili Mvulana na msichana Ambao
hawakuweza Kutambulika kwa haraka Wamekutwa Asubuhi kweupe wakiwa kwenye
usingizi mzito ndani ya Gari lililopaki Pembeni ya Barabara Maeneo ya
Sinza wakiwa uchi Sehemu za chini, Kwa haraka haraka inaonyesha watu
hawa walikuwa wakifanya mapenzi ndani ya gari na kisha kupitiwa na
Usingizi ambao inaonekana umesababishwa na pombe kupita kiasi
walizokunywa usiku.
Watu walijazana na kuanza kuchukua picha kupitia madirisha mpaka wawili hao waliposhtuka na kutokomea pasipojulikana..
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment