Jamaa mmoja ambaye jina lake alikutambulika mara moja amechmwa moto asubuhi na kufariki papo hapo baada ya kujaribu kutaka kuiba vitu vikiwemo Laptop na vitu vyengine katika ajali iliyotokea leo asubuhi baada la Bus la Wibonela Express kupata ajali na kuua watu wanne .

Undani wa taarifa hizi utazipata baada ya muda mfupi.

Farajimfinanga.com  inashukuru kwa kutembelea mtandao wenu na inakuomba uendelee kufuatilia habari zetu.

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top