Huzuni na majonzi imetanda leo katika mji wa kahama baada ya bus la
Wibonela Express linalofanya safari zake Kahama -Dar kupinduka baada ya
kutoka stand kuu ya kahama km chache toka stand katika eneo la Phantom
na kuua watu wanne.
Kwa taarifa za awali chanzo chz ajali hiyo ni mwendo kasi na Taarifa Rasmi na picha zaidi zitawajia hapo baadae.
www.farajimfinanga.com inakupa taarifa hizi na inakuomba uendelee kufuatilia taarifa zetu.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment