Ifikapo Ijumaa washiriki wa shindano la Big Brother Africa Hotshots wana enjoy good music na kufurahi kwa pamoja kabla ya kutolewa washiriki walioingia kwenye kikango cha Eviction wiki hii.Hizi ni baadhi ya picha ambazo washiriki wakiserebuka ndani ya mjengo burudani ikitolewa na Dj Tass kutokea Tanzania.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment