.
.
Party ilifanyika Club Rouge na kuwahusisha rafiki zake pamoja na Watanzania wengine waliojitokeza baada ya kupata taarifa kwamba November 8 2014 mrembo huyu angeagwa kwa kufanyiwa hii party Dar es salaam.
Miss Dodoma ambae pia ni Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa (20) aliandaliwa party ya kuagwa ambapo anatarajia kusafiri Jumamosi ijayo kuelekea Uingereza kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang’anyiro cha kumsaka Miss World 2014 Desember 14.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top