Picha nyingine aliyopiga kwa mbele ikimuonesha mwenye tabasamu na furaha tele wala bila kujali chochote.
Picha ya Kim Kardashian inayomwonyesha nusu mtu na nusu mnyama iliyotengenezwa kumdhihaki mara baada ya kuwekwa hadharani kwa picha zake za utupu.
Picha halisi iliyowekwa kwenye Intanet aliyopigwa jijini Paris mwezi Septemba mwaka huu kwa ajili ya jarida la Paper la Marekani.

PICHA za utupu za mwanadada maarufu duniani Kim Kardashian, zinazopatikana kwenye jarida la Paper la Marekani tolea la sasa zimeonekana 'kuutikisa' mtandao wa Intanet na kuwaacha watu na mshangao na mshituko mkubwa. Kwa mujibu wa mpiga picha maarufu, Jean-Paul Goude, aliyefanya kazi ya kumpiga picha mwanadada huyu ambaye ni mke wa Kanye West na mama wa mtoto mmoja, wazo la kuvua nguo lilikuwa na Kim mwenyewe! Wadau mbalimbali wamemponda Kim kwani wameshindwa kuelewa na kukubaliana naye kupiga picha ya namna hii ikiwa kama pesa anazo na yeye ni mke wa mtu na Kanye amekubalije mkewe kuonesha buu lake dunia nzima?!!.......wanasema dunia 'imesambaratika'!.

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top