.
.
Dj Tass kutoka Tanzania usiku wa November 14 2014 aliiwakilisha Tanzania baada ya kupewa mwaliko wa kwenda kuwarusha  washiriki kwenye jumba la shindano la Big Brother Africa 2014 ambapo sehemu kubwa ya hits alizozicheza ni nyimbo za bongofleva.
Miongoni mwa watu walioangalia burudani hiyo ni Shilole ambaye aliisifia burudani ya Dj Tass kupitia Instagram na kuandika ‘@djtass kaka wew ni ny**o coz umejua kuipenda nchi yako na hizo ngoma zako kali!!@bigbrother africa oyooooooo’
Baada ya Shilole kuandika hayo alitokea mmoja wa followers wake ambae aliandika ‘kaitangaza nchi yetu vizuri ila bba it’s all about Africa kwahiyo kwa upande mwingine kawaboa nchi zingine na hata housemates wengine walikua hawachezi maana hawaelewi, kwaio angepiga nyimbo ili wote wafurai,sio sisi tu na idris
Shilole hakuchukua time na akaamua kumjibu shabiki huyo kwa kumuandikia comment hii >>> ‘Utakuwa hauna shukran we dada masna asingepiga pia nyimbo zetu pia ungechamba kama si kuha*****! Dj kapiga nyimbo za nchi zote zilizipo pale, hivi lini mtaacha ushamba wa kukoment ××××× kwani lazima ukoment! Mnaboa, nina wasiwasi wewe utakua sio Mtanzania
.
.
.
.
.
.

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top