Picha
nyingi zimeanza kuenea mitandaoni tangu juzi zikimuonyesha Rais Kikwete
akitoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu ya upasuaji wa Tezi Dume.
Leo nimekuwekea video hii ambayo
nimeitoa kwenye blog ya Issa Michuzi, inayomwonyesha Rais akiwa
anatembea kutoka Hospitali ya Johns Hopkins, Maryland Marekani alikokuwa
anapatiwa matibabu hayo.
Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio
Post a Comment