JKPicha nyingi zimeanza kuenea mitandaoni tangu juzi zikimuonyesha Rais Kikwete akitoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu ya upasuaji wa Tezi Dume.
Leo nimekuwekea video hii ambayo nimeitoa kwenye blog ya Issa Michuzi, inayomwonyesha Rais akiwa anatembea kutoka Hospitali ya Johns Hopkins, Maryland Marekani alikokuwa anapatiwa matibabu hayo.
 MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU RAISI WETU

Soma Nafasi za kazi na ajira bofya hapa chini kutizama, Mjulishe na mwenzio

Facebook Blogger Plugin by Bongo na Matukio

Post a Comment

 
Top